Wewe ni Matokeo ya Unachokula! Tunaelewa ni aina gani ya chakula watoto wanapaswa kula na kwa nini?

0 Views
Published
Sote tunafahamu kuwa chakula ni muhimu sana kwa ukuaji wa watoto. Lakini je! Tunaelewa ni aina gani ya chakula watoto wanapaswa kula na kwa nini? Tutajifunza hili na mengine mengi katika mada hiii.

Spika: Navnit Jandu

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Chagua herufi! Cheka, chora, na jifunza Kiingereza na Akili. Angalia "Akili and Me" TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids.

Subscribe to this channel to get free fun learning videos every week from Akili and Me! Edutainment made in Africa, for Africa.

Akili and Me is a edutainment series from Ubongo Media, creators of Ubongo Kids. Kids 3-6 year olds will love joining Akili on her magical adventures in Lala Land, where they’ll learn numbers, letters, drawing and English.

Akili and Me is on TV! Watch us here: Tanzania - TBC1; Kenya - Citizen TV; Uganda - NTV; Rwanda - RTV; Zambia - ZNBC; Nigeria - AIT; Ghana - TV3; and the African channel!

http://www.akiliandme.com
http://www.facebook.com/akiliandme

Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.

#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe
Category
Милфы
Be the first to comment